Albamu ya Video

Naibu Waziri Mavunde anzungumzia kuchelewa kwa kibali cha kazi cha Mkurugenzi Mtendaji Vodacom

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde amezungumzia kuchelewa kwa kibali cha Mkurungenzi Mtendaji Mpya. Aidha Mhe. Mavunde aliongelea pia juu ya uboreshwaji wa mfumo wa utoaji wa vibali vya Kielektroniki 'E-Permit'.

Imewekwa: Aug 30, 2018

MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2018

MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2018

Imewekwa: Oct 15, 2018