News

Makubaliano ya ushirikiano kati ya Serikali na DIT

Date Posted: 20 Jan 2017

Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) Prof.Preksedis Ndomba (kushoto) na Mkurugenzi wa Ajira kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bw. Ally Msaki wakisaini makubaliano ya ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi hiyo utakaowezesha vijana kupata mafunzo ya uzalishaji wa mazao ya ngozi katika Taasisi hiyo Kampasi ya Mwanza ili kuchochea uchumi wa viwanda nchini.

Read More

Baraza La Wafanyakazi 2017

Date Posted: 11 Apr 2017

Naibu Waziri - Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi hiyo mjini Dodoma tarehe 3/04/2017.

Read More

Baraza La Wafanyakazi 2017

Date Posted: 11 Apr 2017

Katibu Mkuu - (OWM-KVAU) Bw.Eric Shitindi akihutubia Wajumbe katika Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi.

Read More

SHEREHE ZA UZINDUZI WA MAFUNZO YA KURASIMISHA UJUZI NJE YA MFUMO RASMI

Date Posted: 24 Jul 2017

Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi ,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Anthony Mavunde Akitabasamu na kuonyesha furaha wakati akihutubia Vijana (hawapo pichani) katika uzinduzi wa Mafunzo ya urasimishaji ujuzi kwa Vijana walio nje ya mfumo rasmi katika chuo cha VETA Kigoma Tarehe 13/7/2017,kulia pichani ni Mbunge wa Kigoma mjini Mhe.Zitto Kabwe.

Read More

UZINDUZI WA MAFUNZO YA KURASIMISHA UJUZI NJE YA MFUMO RASMI

Date Posted: 24 Jul 2017

Pichani Mhe.Naibu Waziri Anthony Mavunde(OWM-KVAU) akiwasili chuo cha VETA –Kigoma kushiriki uzinduzi wa programu ya Taifa ya Kurasimisha ujuzi kwa Vijana walio nje ya mfumo rasmi (Recognition of prior learning) pamoja kulia kwake ni Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe na Nyuma yake ni Bi Leah Lukindo –Kaimu Mkurugenzi mkuu wa VETA>

Read More