Jaribu muonekano

Jaribu muonekano

Jaribu muonekano

Mradi huu unalenga kuwawezesha vijana kupitia mafunzo ya uongozi, malezi elekezi (mentorship), elimu ya ujasiriamali, na ukuzaji wa stadi za maisha. Unawapatia vijana maarifa ya vitendo na kujiamini ili wawe chachu ya mabadiliko katika jamii zao, huku ukikuza ubunifu, ajira, na maendeleo endelevu.

Mpangilio