Albamu ya Video

Naibu Waziri Mavunde anzungumzia kuchelewa kwa kibali cha kazi cha Mkurugenzi Mtendaji Vodacom

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde amezungumzia kuchelewa kwa kibali cha Mkurungenzi Mtendaji Mpya. Aidha Mhe. Mavunde aliongelea pia juu ya uboreshwaji wa mfumo wa utoaji wa vibali vya Kielektroniki 'E-Permit'.

Imewekwa: Aug 30, 2018

MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2018

MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2018

Imewekwa: Oct 15, 2018

JAMII YA ELIMISHWA KUHUSU MADHARA YA UTUMIKISHWAJI WA WATOTO

Serikali kuendelea kutekeleza mikakati ya kupiga vita utumikishwaji dhidi ya watoto ikiwemo kuelimisha jamii juu ya madhara ya suala hilo.

Imewekwa: Jul 03, 2019

Waziri Mhagama Azindua Baraza La Taifa La Ushauri Kwa Watu Wenye Ulemavu

Waziri Mhagama amezindua rasmi Baraza la Taifa la ushauri kwa Watu wenye Ulemavu huku akilitaka baraza hilo kufanya kazi kwa weledi na ushirikiano ili kuleta tija na mafanikio makubwa kwa Watu wenye Ulemavu nchini.

Imewekwa: Jul 03, 2019

Bodi ya wadhamini ya NSSF yatakiwa kuweka mifumo bora ya kielektroniki ili kudhibiti mapato

Bodi ya wadhamini ya NSSF yatakiwa kuweka mifumo bora ya kielektroniki ili kudhibiti mapato

Imewekwa: Jul 03, 2019

Vijana elfu 40 kufikiwa na Mafunzo ya Ujasiriamali na Biashara|Wenye Ulemavu nao kufikiwa

Vijana elfu 40 kufikiwa na Mafunzo ya Ujasiriamali na Biashara|Wenye Ulemavu nao kufikiwa

Imewekwa: Aug 11, 2019