Dhamira, Maono na Maadili

Dhamira Yetu

Kuwawezesha vijana kupitia malezi ya uongozi (mentorship), stadi za maisha, mafunzo ya uongozi, na fursa za ubunifu zinazowawezesha kufikia uwezo wao kamili.

Dira Yetu

Kujenga kizazi cha vijana waliowezeshwa, wenye kujiamini na wenye ujuzi, wanaoongoza mabadiliko na kujenga jamii endelevu.

Mpangilio