Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

Ripoti ya CAG Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi yapata hati safi


Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mary Maganga akipokea Ripoti yenye Hati safi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu hesabu za ofisi hiyo (Fungu 65) na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 2024, kutoka kwa Kaimu Mhasibu Mkuu, Festo Mpilipili leo tarehe 12 Mei 2025, Jijini Dodoma.