Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

Announcement

Tangazo kuitwa kwanza Mafunzo ya Ufundi Stadi za Kazi fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi


OFISI YA WAZIRI MKUU

KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU

TAARIFA KWA UMMA

KUITWA KUANZA MAFUNZO YA UFUNDI STADI ZA KAZI KATIKA FANI MBALIMBALI KWA NJIA YA UANAGENZI

Tarehe 01 Novemba, 2023 Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (OWM – KVAU) ilitangaza fursa za mafunzo ambayo yatatolewa katika taasisi za mafunzo zilizotangazwa kutoka Mikoa 26 ya Tanzania Bara. Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu inapenda kuutaarifu umma kuwa vijana 6,000 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo katika vyuo 43 nchini. Majina ya vijana waliochaguliwa yamebandikwa kwenye mbao za matangazo za vyuo husika na katika tovuti ya www.kazi.go.tz . Vijana waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye vyuo hivyo kwa ajili ya kuthibitisha na kujisajili kuanzia tarehe 15 Januari, 2024 ambapo mafunzo yataanza rasmi tarehe 22 Januari, 2024. Mikoa na vyuo ambapo mafunzo yatafanyika ni kama ifuatavyo:-

MKOA

JINA LA CHUO

ARUSHA

  1. DON BOSCO KII –TECH
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MTO WA MBU

DAR ES SALAAM

  1. DSM RVTSC
  1. DON BOSCO OSTERBAY VTC

DODOMA

  1. INSTITUTE OF HEAVY EQUIPMENT AND TECHNOLOGY
  1. DON BOSCO DODOMA TECHNICAL INSTITUTE

GEITA

  1. GEITA VOCATIONAL TRAINING CENTRE

IRINGA

  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI ILULA
  1. MAFINGA LUTHERAN VOCATIONAL TRAINING CENTRE
  1. RDO KILOLO VOCATIONAL TRAINING CENTRE

KAGERA

  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI RUBONDO
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI GERA

KATAVI

  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MSAGINYA

KIGOMA

  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI KASULU
  1. CHUO CHA UFUNDI STADI JKT KASANDA
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI KIHINGA
  1. KASULU DVTC

KILIMANJARO

  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MAMTUKUNA
  1. MARANGU SCHOOL OF TOURISM AND VOCATIONAL TRAINING

LINDI

  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI KILWA MASOKO
  1. RUANGWA DVTC

MANYARA

  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI TANGO

MARA

  1. ST.ANTHONY VOCATIONAL TRAINING CENTRE

MBEYA

  1. CHUO CHA UFUNDI MAGEREZA RUANDA

MOROGORO

  1. LAKEWOOD TRAINING INSTITUTE

MTWARA

  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MASASI

MWANZA

  1. MWANZA RVTSC
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI SENGEREMA

NJOMBE

  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI NJOMBE

PWANI

  1. PWANI RVTSC

RUVUMA

  1. CHUO CHA UFUNDI STADI MPAPA
  1. PERAMIHO VOCATIONAL TRAINING CENTRE

RUKWA

33.LAELA AGRICULTURE VTC

34.CHUO CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST RUKWA)

SHINYANGA

35.HILL FOREST COLLEGE - KAHAMA

SIMIYU

36.CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI BARIADI

SINGIDA

37.CHUO CHA UFUNDI NA MAREKEBISHO KWA WATU WENYE ULEMAVU SABASABA

38.CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI SINGIDA

SONGWE

39. ILEJE DVTC

TABORA

40.CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MWANHALA

41.URAMBO DVTC

TANGA

42.ST.PATRICK’S VOCATIONAL TRAINING CENTER

43. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI HANDENI

IMETOLEWA NA:

KATIBU MKUU

BONYEZA LINK KUSOMA ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI ZA KAZI KWA NJIA YA UANAGENZI

https://www.kazi.go.tz/uploads/documents/en-1705299038-ORODHA%20YA%20VIJANA%20WALIOCHAGULIWA%20UANAGENZI%20AWAMU%20YA%20SITA%20TANGAZO.pdf