• Home
  • About Us
    • Divisions
      • Labour
        • Labour Relations section
        • Labour Inspection
        • Social Security
      • Employment
        • Employment Promotion Section
        • Labour Market Information
        • Employment Services
      • Administration & HRM
        • Administration
        • Human Resources Management
      • Policy and Planning
        • Policy Section
        • Planning Section
        • Monitoring Section
    • Units
      • Procurement Management
      • Registral of Trade unions
      • Finance and Accounts
      • Internal audit
      • Goverment Communication
      • Legal Services
      • ICT
  • Institutions
    • NSSF
    • TaESA
    • CMA
    • SSRA
    • OSHA
    • NIP
  • Contact
  • Others
    • Boards
      • Lesco
      • Wage Board
    • Committees
      • Essential Committees
  • Information
    • Tenders
    • Vacancies
Sunday, May 20, 2012
  • Read Email

Home

HISTORIA YA WIZARA

Wizara hii ni moja ya Wizara kongwe katika muundo wa Serikali tangu Uhuru mwaka 1961. Jina na muundo wake vimekuwa vikibadilika. Baada ya Uhuru Serikali iliunda Wizara mbali mbali ambapo mojawapo ni Wizara hii ya Kazi.

Kati ya mwaka 1972 na 1984 ilibadilishwa na kuitwa Wizara ya Kazi na Ustawi wa jamii. Kuanzia mwaka 1984 hadi 1987 ilibadilishwa tena na kuitwa Wizara ya Kazi na Utumishi. Mnamo mwaka 1987 muundo wa Wizara ulibadilishwa na kuitwa Wizara ya Kazi, Maendeleo ya Vijana na Michezo.

Mwaka 1990 hadi 2000 jina lilibadilishwa na kuitwa Wizara ya Kazi na Maendeleo ya Vijana. Hata hivyo mwaka 2000 muundo wake ulibadilishwa tena na kuitwa Wizara ya Kazi, Maendeleo ya Vijana na Michezo hadi ilipofika mwaka 2005 ambapo muundo huo ulibadilishwa na kuitwa Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, mwaka 2010 jina lilibadilishwa tena na kuitwa Wizara ya Kazi na Ajira baada ya kuondolewa Idara ya Maendeleo ya Vijana.

MUUNDO WA WIZARA

Ili kufanya kazi kwa ufanisi na kutimiza malengo yake, Wizara ya Kazi na Ajira ina Idara nne, ambazo ni Idara ya Usimamizi Kazi na Huduma za Ukaguzi, Idara ya Huduma za Ajira, Idara ya Utawala na Utumishi na Idara ya Sera na Mipango. Aidha Wizara ina vitengo vya Fedha na Uhasibu, Ukaguzi wa Ndani, Msajili wa Vyama Huru vya Wafanyakazi na Waajiri, Habari, Elimu na Mawasiliano na Kitengo cha Ununuzi na Ugavi.

Vilevile Wizara inasimamia shughuli za mashirika na taasisi zifuatazo:-

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Shirika la Tija la Taifa (NIP), Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya jamii (SSRA).

  • RAISI Atembelea - Wizarani - ZIARA YA... More →
  • Waziri Akutana - Na Waandishi Wa... More →
  • OSHA yapata - Bodi Mpya - WAJUMBE... More →
  • Dev. Partners

    • DANIDA
    • ILO
    • UNDP
    • UNICEF
    • WORLD BANK
  • Important Links

    • Bank of Tanzania
    • Ministry of CST
    • Ministry of Education
    • Ministry of Finance
  • Social Pertners

    • ATE
    • TUCTA
  • Important Documets

    • The HIV and AIDS Act
    • EMPLOYEES-RIGHTS
    • Employment and Labour Relations Act 6-2004
    • Labour Institutions Act 7-2004
    • National Employment Policy
    • National Prosecution Service Act 1- 2008
  • Visitors Counter

    Visitors Online


Copy rights ©2012. All rights reserved. Ministry of Labour and Employment. Designed by MLE-ICT