Habari

JESHI LA MAGEREZA NA PSSSF WATAKIWA KUKAMILISHA MIUNDOMBINU YA KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA KWA WAKATI

Katibu Mkuu, Maasawe ametoa maagizo kwa Jeshi la Magereza na PSSSF kukamilisha miundombinu za kiwanda hicho ili kianze uzalishaji Soma zaidi

Imewekwa: May 19, 2020

NAIBU WAZIRI IKUPA ATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA KWA SHIVYAWATA

Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu limepokea msaada kutoka kwa Mhe. Ikupa kwa ajili ya kujinga na Corona Soma zaidi

Imewekwa: May 13, 2020

"Mafunzo ya Kilimo cha Kisasa kwa Kutumia Kitalu Nyumba yaimarishwe":Waziri Mhagama

Waziri Mhagama ataka Mafunzo ya Kilimo cha Kisasa kwa Kutumia Teknolojia ya Kitalu Nyumba Kuimarishwa Usimamizi na Uendeshaji Soma zaidi

Imewekwa: Mar 16, 2020

WAJUMBE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA UFANISI

Naibu Waziri Mavunde amewataka Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi Soma zaidi

Imewekwa: Mar 09, 2020

SERIKALI YA TANZANIA YAPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA TAIFA YA UKUZAJI UJUZI KWA VIJANA

Mawaziri na Wadau wa Utatu wa SADC sekta ya Kazi na Ajira wapongeza serikali ya Tanzania namna inavyowajengea uwezo vijana Soma zaidi

Imewekwa: Mar 09, 2020

MAKAMU WA RAIS AMEWATAKA MAWAZIRI SADC SEKTA YA KAZI NA AJIRA KUWA NA MIKAKATI YA KUWAJENGEA UWEZO VIJANA

Mawaziri na Wadau wa Utatu wa SADC sekta ya Kazi na Ajira wahimizwa kuwa na Mikikakati ya kuwajengea Uwezo Vijana Soma zaidi

Imewekwa: Mar 09, 2020

NCHI WANACHAMA WA SADC KUIMARISHA SERA NA KUJENGA MIKAKATI YA PAMOJA YA KUKUZA AJIRA KWA VIJANA

Nchi Wanachama wa SADC zajipanga kuimarisha sera na kujenga mikakati ya pamoja katika kukuza ajira kwa vijana Soma zaidi

Imewekwa: Mar 03, 2020

MAWAZIRI WA SADC SEKTA YAAJIRA KUKUTANA JIJINI DAR ES KAZI NA SALAAM

Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa SADC sekta ya Kazi na Ajira kufanyika Dar es Salaam Soma zaidi

Imewekwa: Mar 03, 2020

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA RASMI BARAZA LA WAFANYAKAZI PSSSF

Waziri Mhagama azindua Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Soma zaidi

Imewekwa: Feb 10, 2020

UJENZI KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA WAPAMBA MOTO

Waziri Mhagama aridhika na kasi ya Ujenzi wa Kiwanda kipya cha Bidhaa za Ngozi cha Karanga Soma zaidi

Imewekwa: Feb 10, 2020

ZAIDI YA EKARI LAKI MBILI ZATENGWA KWA AJILI YA KUWEZESHA SHUGHULI ZA VIJANA – NAIBU WAZIRI MAVUNDE

Takribani ekari laki mbili Zimetengwa hapa nchini ikiwa ni mikakati wa kukuza na kuendeleza shughuli za maendeleo ya vijana. Soma zaidi

Imewekwa: Feb 07, 2020

SERIKALI YAJIZATITI KUIMARISHA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA RASILIMALI MADINI

Serikali imedhamiria kusimamia na kudhibiti rasilimali madini ili ilete tija iliyokusudiwa kwa Taifa. Soma zaidi

Imewekwa: Jan 25, 2020

WAZIRI MHAGAMA ATOA MIEZI MIWILI MABARAZA YA WAFANYAKAZI YASIYO HAI KUHUISHWA

Mabaraza ya Wafanyakazi Yasiyo Hai yametakiwa kuhuishwa na kuanza kutekeleza majukumu yake yalioainishwa kisheria. Soma zaidi

Imewekwa: Jan 24, 2020

WAMILIKI WA VIWANDA WATAKIWA KUTOA KUSHIRIKIANO OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU

Waziri Mhagama ametoa wito kwa Wenye Viwanda nchini kushirikiana na NBS ili kuwe na takwimu sahihi zinazohusu sekta hiyo. Soma zaidi

Imewekwa: Jan 24, 2020

WAZIRI MHAGAMA AZITAKA PSSSF NA NSSF KUFUNGUA VITUO WILAYANI KUSAIDIA WAZEE NA WASTAAFU

PSSSF na NSSF zashauriwa kuanzisha Ofisi ndogo katika Wilaya zote Nchini ili kusaidia Wastaafu Soma zaidi

Imewekwa: Jan 20, 2020