Habari

WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAZAVA MKOANI MOROGORO

WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAZAVA MKOANI MOROGORO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuuanayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na viongozi wa kiwanda cha Mazava alipowasili Mkoani Morogoro kwa lengo la kutembelea maeneo ya kazi.

Meneja Msaidizi wa Kiwanda cha Mazava Bw. Nelson Mchukya akitoa taarifa fupi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mkoani Morogoro.


Waziri wa Nchi, Ofisiya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisikiliza changamoto na kero wanazokumbana nazo wafanyakazi katika Kiwanda cha Mazava kutoka kwa Bw. Mrisho Tugulu (kulia), alipotembelea kiwanda hicho kujionea utendaji kazi.


Waziri wa Nchi, Ofisiya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha Mazava, alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mkoani Morogoro.


Mmoja wa Wafanyakazi wa Kiwanda cha Mazava Bi. Sophia Lyimo (kushoto) anayehusika na uzalishaji akimwelezwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama namna wanavyotengeneza nguo katika kiwanda hicho.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiangalia nguo zinazozalishwa katika kiwanda cha Mazava, alipotembelea kiwanda hicho. Kulia ni Meneja Msaidizi wa Kiwanda cha Mazava upande wa Uzalishaji Bw. Bernald Makau akitoa maelezo.


Nchi, Ofisiya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi na wafanyakazi wa Mazava wakati wa ziara yake alipotembelea kiwanda hicho mkoani Morogoro.