Habari

Naibu Waziri Mavunde apokea taarifa ya mradi wa Uwezeshaji Kwa Vijana Kiuchumi (YEE)

Naibu Waziri Mavunde apokea taarifa ya mradi wa Uwezeshaji Kwa Vijana Kiuchumi (YEE)

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde amepokea taarifa ya kuhitimisha mradi wa Uwezeshaji Kwa Vijana Kiuchumi (YEE) uliokuwa ukitekelezwa na taasisi zifuatazo za Plan International, VSO, VETA na CCBRT chini ya ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU).