Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

Ofisi ya Waziri Mkuu yapigwa msasa Mfumo wa PEPMIS na PIPMIS


Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imepatiwa mafunzo juu ya mifumo mipya ya Upimaji utendaji kazi kwa Taasisi (PIPMIS) na Mfumo wa upimaji utendaji kwa wafanyakazi umma (PEPMIS).

Mafunzo hayo yametolewa Julai 19, 2023 na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Umma na utawala bora yanayolenga kutatua changamoto zilizokuwepo kwenye mfumo wa OPRAS, na PIPMIS umeundwa kutatua changamoto zilizokuwepo kwenye mfumo wa IPCS.

Mfumo huo wa PEPMIS utapunguza na kuondoa matumizi ya karatasi, kuongeza uwazi katika usimamizi wa watumishi na kuondoa upendeleo na uonevu katika upimaji na utendaji kazi kwa watumishi