Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

Ofisi ya Waziri Mkuu yashiriki Maadhimisho ya Mei Mosi Jijini Dodoma


Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu leo tarehe 01 Mei, 2023 imeungana na Wafanyakazi wa sekta ya Umma na Binafsi katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani "Mei Mosi" yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Aidha, Kauli mbiu ya mwaka huu katika sherehe za Mei Mosi ni "Mishahara Bora na Ajira za Staha ni Nguzo kwa Maendeleo ya Wafanyakazi. Wakati ni Sasa."