Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee, Wajumbe wa Bodi ya PSSSF na Watendaji Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.