Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Employment and Relations

News

Waziri Sangu akagua Maendeleo ya Ujenzi Ofisi ya Waziri Mkuu


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu ametembelea na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali, Mtumba Mkoani Dodoma leo Mei 13,2026.

Aidha, Katika ukaguzi huo Waziri Sangu aliambatana na Naibu Waziri wa Ofisi hiyo Mhe. Dkt.Evaline Munisi pamoja na Viongozi wa Wizara hiyo.