Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

KATAMBI ATEMBELEA MABANDA YA EPIDEMIC CONTRO (EPIC) WAKATI WA MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WANAOTEKELEZA AFUA ZA VVU NA UKIMWI JIJINI DODOMA


Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Patrobas Katambi,akitoa maelezo kwa Afisa Mradi DREAMS,EPIC,FHI 360 Bi.Getruda Eusebio mara baada ya kukagua Mabanda hayo wakati wakati wa Mkutano wa Mwaka wa wadau wanaotekeleza Afua za VVU na UKIMWI zinazowalenga wasichana Balehe na Wanawake Vijana unaofanyika leo April 29 hadi 30 jijini Dodoma.#pamojahainakufeli2021