Habari

MHE. IKUPA ATOA MSAADA WA BAISKELI KWA MTOTO WENYE ULEMAVU

MHE. IKUPA ATOA MSAADA WA BAISKELI KWA MTOTO WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akiwa na mtoto mwenye Ulemavu Happy Shabani Salumu mara baada ya kukabidi msaada wa baiskeli kwa mtoto huyo Mei 15, 2019 Jijini Dodoma.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akimkabidhi baiskeli mtoto Happy Shabani Salumu, ambaye ni mlemavu wa viungo itakayo msaidia kwenda shuleni na kumwezesha kufanya shughuli nyingine kwa urahisi. Kulia ni Mzazi wa mtoto huyo Bi. Magreth Leo.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa jambo kuhusu umuhimu wa kuwajali Watu wenye Ulemavu wakati alipokuwa akitoa msaada wa baiskeli kwa mtoto Happy Shabani Salumu wenye Ulemavu, Jijini Dodoma Mei 15, 2019.

Bi. Magreth Leo (katikati) akimwelezea jambo Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshugulikia Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Alex Ikupa (kushoto) kuhusu mtoto wake Happy Shabani Salumu wenye Ulemavu. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Watu wenye Ulemavu Bi. Josephine Lyengi.