Habari

Naibu Waziri Ikupa azungumza na Wajasiriamali wenye Ulemavu Jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri Ikupa azungumza na Wajasiriamali wenye Ulemavu Jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akijaribu kushona nguo kwa kutumia cherehani katika Kiwanda Darasa cha watu wasioona kilichopo Uwanja wa Sabasaba Jijini Dar es Salaam (Kulia) ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Bw. Edwin Rutageruka. (Kushoto) ni Bw. Abdalla Nyangalilo mwalimu na mtaalamu wa kushona nguo mwenye ulemavu wa macho (asiyeona)