Habari

Ziara ya kikazi iliyolenga kukutana na kuzungumza na vikundi vya uzalishaji shughuli za kiuchumi Wilaya ya Lushoto.

Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Bw. Januari Lugangika alipofanya ziara ya kikazi Wilaya ya Lushoto.