Habari

KATIBU MKUU AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI KUJADILI NAMNA BORA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO KAZI WA MWAKA 2019 -2020

Katibu Mkuu amekutana na Wakuu wa Taasisi na kutoa maelekezo kuhusu utoaji huduma kwa wananchi Soma zaidi

Imewekwa: Jul 19, 2019

VIJANA MKOANI MOROGORO WATOA PONGEZI NA SHUKRANI KWA RAIS MAGUFULI

Vijana Wilaya ya Kilosa wamemshukuru na kumpongeza Mhe. Rais kwa kuyarejesha mashamba makubwa kwa Wananchi Soma zaidi

Imewekwa: Jul 12, 2019

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AWATAKA WANANCHI KUTUNZA VYANZO VYA MAJI

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2019, Mzee Mkongea Ali amewasihi wananchi kutunza vyanzo vya maji. Soma zaidi

Imewekwa: Jul 08, 2019

SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA HUDUMA KWA WATU WENYE ULEMAVU

Serikali kwa kushirikiana na wadau imedhamiria kuboresha huduma na upatikanaji wa vifaa saidizi kwa watu wenye ulemavu. Soma zaidi

Imewekwa: Jun 29, 2019

WAZIRI MHAGAMA APOKEA MSAADA WA VIFAA SAIDIZI NA CHEREHANI KUTOKA UBALOZI WA CHINA

Waziri Mhagama amepokea cherehani na vifaa siadizi kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu vilivyotolewa na Ubalozi wa China nchini. Soma zaidi

Imewekwa: Jun 26, 2019

KATIBU MKUU MASSAWE AHIMIZA USHIRIKIANO KWA WATUMISHI

Katibu Mkuu amewaasa watumishi kufanyakazi kwa ushirikiano ili waweze kutumiza malengo waliyojiwekea. Soma zaidi

Imewekwa: Jun 22, 2019

SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MIKAKATI YA KUPIGA VITA UTUMIKISHWAJI DHIDI YA WATOTO

Serikali imekua na mikakati mikubwa ambayo imesaidia kutokomeza utumikishwaji wa watoto nchini. Soma zaidi

Imewekwa: Jun 13, 2019

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA BARAZA LA TAIFA LA USHAURI KWA WATU WENYE ULEMAVU

Waziri Mhagama amezindua rasmi Baraza la Taifa la ushauri kwa Watu wenye Ulemavu. Soma zaidi

Imewekwa: Jun 03, 2019

WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUSAIDIA MAANDALIZI YA MASHINDANO YA SOKA KWA WENYE ULEMAVU AFRIKA MASHARIKI

Mhe. Ikapa awaomba wadau kusaidia mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika Mashariki (CECAAF) Soma zaidi

Imewekwa: May 20, 2019

MHE. IKUPA ATOA MSAADA WA BAISKELI KWA MTOTO WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri Ikupa atoa msaada wa baiskeli kwa mtoto Happy Shabani Salumu wenye ulemavu, Jijini Dodoma Soma zaidi

Imewekwa: May 16, 2019

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI

Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa UNICEF nchini Soma zaidi

Imewekwa: May 13, 2019

WAZIRI MHAGAMA AWAONYA WAAJIRI WOTE KUTONYANYASA WANAWAKE

Mhe.Jenista mhagama amewataka waajiri wote nchini kutonyanyasa wanawake katika masuala ya kazi ili kuwa na usawa maeneo ya kazi. Soma zaidi

Imewekwa: May 01, 2019

WAZIRI MHAGAMA AWAASA WAFANYAKAZI KUTIMIZA WAJIBU WAO

Mhe. Jenista mhagama amewaasa wafanyakazi nchini kufanya kazi kwa bidii na uzalendo Soma zaidi

Imewekwa: May 01, 2019

NAIBU WAZIRI IKUPA ALIPONGEZA SHIRIKA LA COMPASSION INTERNATIONAL KWA KUSAIDIA WATOTO NA VIJANA NCHINI

Mhe. Ikupa alipongeza Shirika lisilo la kiserikali la Compassion International Tanzania (CIT) kwa kusaidia Watoto na vijana Soma zaidi

Imewekwa: May 01, 2019

WAZIRI MHAGAMA AWAPA HAMASA TUCTA KUANZISHA VIWANDA

Waziri wa Nchi (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama amewataka TUCTA kuanzisha Viwanda Soma zaidi

Imewekwa: May 01, 2019