Habari

MATUKIO KATIKA PICHA OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Matukio ya Picha Soma zaidi

Imewekwa: Apr 10, 2019

KITENGO CHA WATU WENYE ULEMAVU KUIMARISHWA - Naibu Waziri Ikupa

Serikali itaendelea kuimarisha kitengo kinachoshughulikia masuala ya watu wenye ulemavu ili kuendana na mahitaji halisi nchini. Soma zaidi

Imewekwa: Apr 10, 2019

Mapendekezo Bajeti ya Serikali 2019/2020 Kuzingatia Mpango wa Maendeleo wa Taifa

Mapendekezo ya Bajeti ya Serikali yanazingatia Mpango wa Maendeleo wa Taifa sanjari na utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi. Soma zaidi

Imewekwa: Apr 05, 2019

Vijana Nchini Kuendelea Kuwezeshwa ili Wajiajiri na Kuzalisha Ajira

Serikali imesema itaendelea kutekeleza kwa vitendo azma yake ya kuwezesha vijana hapa nchini ili kuondokana na changamoto ya ajira Soma zaidi

Imewekwa: Apr 05, 2019

SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI NA SALAMA NCHINI

Serikali imedhamiria kuimarisha upatikanaji wa maji safi na salama ifikapo 2020. Soma zaidi

Imewekwa: Apr 04, 2019

Makamu wa Rais azindua Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2019

Makamu wa Rais azindua Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2019, Mkoani Songwe Soma zaidi

Imewekwa: Apr 04, 2019

WAZIRI MHAGAMA AWAASA WANANCHI KUTUNZA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI

Mhe. Mhagama amewataka Wananchi kutunza Mazingira na Vyanzo vya Maji Soma zaidi

Imewekwa: Apr 01, 2019

Waziri Mhagama Haimiza Vijana Kuwa Wazalendo kwa Nchi Yao

Mhe. Jenista Mhagama amewahimiza vijana kuwa wazalendo na kuithamini nchi yao. Soma zaidi

Imewekwa: Mar 27, 2019

WAZIRI MHAGAMA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mhagama amefungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi yake na kuwahimiza kufanya kazi kwa weledi Soma zaidi

Imewekwa: Mar 18, 2019

NAIBU WAZIRI IKUPA APONGEZA TUZO ZA I CAN

Mhe. Stela Ikupa amepongeza Tuzo za I CAN zinazoratibiwa na Taasisi ya Dkt. Reginald Mengi Persons with Disabilities Foundation Soma zaidi

Imewekwa: Mar 18, 2019

WAZIRI MHAGAMA- VIJANA TUMIENI FURSA ZILIZOPO NCHINI KUANZISHA VIJIWE VYA KIUCHUMI

Mhe. Jenista Mhagama amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa zilizopo kwenye maeneo yao kwa kuanzisha vijiwe vya kiuchumi Soma zaidi

Imewekwa: Feb 27, 2019

Waziri Mhagama Akagua Maandalizi Ya Uzinduzi Wa Mbio Za Mwenge Wa Uhuru Mkoani Songwe

Mhe. Mhagama akagua Maandalizi ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Soma zaidi

Imewekwa: Feb 27, 2019

SERIKALI KURASIMISHA UJUZI KWA MAFUNDI NCHINI KUTUMIA PROGRAMU YA MFUMO WA UTAMBUZI NA URASIMISHAJI UJUZI (RPL)

Programu ya Mfumo wa Utambuzi na Urasimishaji Ujuzi (RPL) kunufaisha Mafundi zaidi ya 10,000 Soma zaidi

Imewekwa: Feb 27, 2019

MHE. IKUPA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI KONGWA

Wilaya ya Kongwa yapongezwa utekelezaji wa masuala ya Watu wenye Ulemavu Soma zaidi

Imewekwa: Feb 18, 2019

NAIBU WAZIRI IKUPA AHIMIZA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU KUSHIRIKIANA NA SERIKALI

Mhe. Ikupa ameviasa Vyama vya Watu Wenye Ulemavu nchini kushirikiana na Serikali Soma zaidi

Imewekwa: Feb 18, 2019