Habari

NAIBU WAZIRI IKUPA APONGEZA TUZO ZA I CAN

Mhe. Stela Ikupa amepongeza Tuzo za I CAN zinazoratibiwa na Taasisi ya Dkt. Reginald Mengi Persons with Disabilities Foundation Soma zaidi

Imewekwa: Mar 18, 2019

WAZIRI MHAGAMA- VIJANA TUMIENI FURSA ZILIZOPO NCHINI KUANZISHA VIJIWE VYA KIUCHUMI

Mhe. Jenista Mhagama amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa zilizopo kwenye maeneo yao kwa kuanzisha vijiwe vya kiuchumi Soma zaidi

Imewekwa: Feb 27, 2019

Waziri Mhagama Akagua Maandalizi Ya Uzinduzi Wa Mbio Za Mwenge Wa Uhuru Mkoani Songwe

Mhe. Mhagama akagua Maandalizi ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Soma zaidi

Imewekwa: Feb 27, 2019

SERIKALI KURASIMISHA UJUZI KWA MAFUNDI NCHINI KUTUMIA PROGRAMU YA MFUMO WA UTAMBUZI NA URASIMISHAJI UJUZI (RPL)

Programu ya Mfumo wa Utambuzi na Urasimishaji Ujuzi (RPL) kunufaisha Mafundi zaidi ya 10,000 Soma zaidi

Imewekwa: Feb 27, 2019

MHE. IKUPA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI KONGWA

Wilaya ya Kongwa yapongezwa utekelezaji wa masuala ya Watu wenye Ulemavu Soma zaidi

Imewekwa: Feb 18, 2019

NAIBU WAZIRI IKUPA AHIMIZA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU KUSHIRIKIANA NA SERIKALI

Mhe. Ikupa ameviasa Vyama vya Watu Wenye Ulemavu nchini kushirikiana na Serikali Soma zaidi

Imewekwa: Feb 18, 2019

WAZIRI MHAGAMA AKERWA NA SEKTA BINAFSI YA ULINZI KUONGOZA KWA MIGOGORO MAHALA PA KAZI

WAZIRI MHAGAMA AKERWA NA SEKTA BINAFSI YA ULINZI KUONGOZA KWA MIGOGORO MAHALA PA KAZI Soma zaidi

Imewekwa: Jan 16, 2019

WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WATENDAJI KIWANDA CHA VIATU CHA KARANGA KUZALISHA KWA TIJA

WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WATENDAJI KIWANDA CHA VIATU CHA KARANGA KUZALISHA KWA TIJA Soma zaidi

Imewekwa: Jan 16, 2019

MHAGAMA ARIDHISHWA NA UTENDAJI WA PSSSF SINGIDA

MHAGAMA ARIDHISHWA NA UTENDAJI WA PSSSF SINGIDA Soma zaidi

Imewekwa: Jan 16, 2019

Ofisi ya Waziri Mkuu yatoa mafunzo kwa Mama Wadogo (Young Mothers) Mkoani Tabora

Ofisi ya Waziri Mkuu yatoa mafunzo kwa waliojifungua katika umri Mkoani Tabora Soma zaidi

Imewekwa: Jan 16, 2019

WATUMISHI OFISI YA WAZIRI MKUU WASHIRIKI MAANDAMANO YA AMANI YA KUMPONGEZA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI JIJINI DODOMA

WATUMISHI OFISI YA WAZIRI MKUU WASHIRIKI MAANDAMANO YA AMANI YA KUMPONGEZA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI JIJINI DODOMA Soma zaidi

Imewekwa: Jan 16, 2019

SERIKALI YAZIPA KANDARASI 2.9BN KUTEKELEZA MAFUNZO YA KILIMO CHA KITALU NYUMBA

SERIKALI YAZIPA KANDARASI 2.9BN KUTEKELEZA MAFUNZO YA KILIMO CHA KITALU NYUMBA Soma zaidi

Imewekwa: Jan 16, 2019

Ikupa atoa wito kwa Makampuni na Mashirika kusaidia wenye Ulemavu

Ikupa atoa wito kwa Makampuni na Mashirika kusaidia wenye Ulemavu Soma zaidi

Imewekwa: Jan 16, 2019

NAIBU WAZIRI IKUPA AWAOMBA WADAU KUJITOKEZA MAPAMBANO DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA

NAIBU WAZIRI IKUPA AWAOMBA WADAU KUJITOKEZA MAPAMBANO DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA Soma zaidi

Imewekwa: Jan 16, 2019

Waziri Mhagama; Serikali Imedhamiria Kuwezesha Vijana kushiriki kilimo Biashara

Waziri Mhagama amesema serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuwezesha vijana kiuchumi kupitia kilimo biashara Soma zaidi

Imewekwa: Jan 16, 2019