Habari

MHE. IKUPA ATOA MSAADA WA BAISKELI KWA MTOTO WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri Ikupa atoa msaada wa baiskeli kwa mtoto Happy Shabani Salumu wenye ulemavu, Jijini Dodoma Soma zaidi

Imewekwa: May 16, 2019

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI

Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa UNICEF nchini Soma zaidi

Imewekwa: May 13, 2019

WAZIRI MHAGAMA AWAONYA WAAJIRI WOTE KUTONYANYASA WANAWAKE

Mhe.Jenista mhagama amewataka waajiri wote nchini kutonyanyasa wanawake katika masuala ya kazi ili kuwa na usawa maeneo ya kazi. Soma zaidi

Imewekwa: May 01, 2019

WAZIRI MHAGAMA AWAASA WAFANYAKAZI KUTIMIZA WAJIBU WAO

Mhe. Jenista mhagama amewaasa wafanyakazi nchini kufanya kazi kwa bidii na uzalendo Soma zaidi

Imewekwa: May 01, 2019

NAIBU WAZIRI IKUPA ALIPONGEZA SHIRIKA LA COMPASSION INTERNATIONAL KWA KUSAIDIA WATOTO NA VIJANA NCHINI

Mhe. Ikupa alipongeza Shirika lisilo la kiserikali la Compassion International Tanzania (CIT) kwa kusaidia Watoto na vijana Soma zaidi

Imewekwa: May 01, 2019

WAZIRI MHAGAMA AWAPA HAMASA TUCTA KUANZISHA VIWANDA

Waziri wa Nchi (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama amewataka TUCTA kuanzisha Viwanda Soma zaidi

Imewekwa: May 01, 2019

MATUKIO KATIKA PICHA OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Matukio ya Picha Soma zaidi

Imewekwa: Apr 10, 2019

KITENGO CHA WATU WENYE ULEMAVU KUIMARISHWA - Naibu Waziri Ikupa

Serikali itaendelea kuimarisha kitengo kinachoshughulikia masuala ya watu wenye ulemavu ili kuendana na mahitaji halisi nchini. Soma zaidi

Imewekwa: Apr 10, 2019

Mapendekezo Bajeti ya Serikali 2019/2020 Kuzingatia Mpango wa Maendeleo wa Taifa

Mapendekezo ya Bajeti ya Serikali yanazingatia Mpango wa Maendeleo wa Taifa sanjari na utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi. Soma zaidi

Imewekwa: Apr 05, 2019

Vijana Nchini Kuendelea Kuwezeshwa ili Wajiajiri na Kuzalisha Ajira

Serikali imesema itaendelea kutekeleza kwa vitendo azma yake ya kuwezesha vijana hapa nchini ili kuondokana na changamoto ya ajira Soma zaidi

Imewekwa: Apr 05, 2019

SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI NA SALAMA NCHINI

Serikali imedhamiria kuimarisha upatikanaji wa maji safi na salama ifikapo 2020. Soma zaidi

Imewekwa: Apr 04, 2019

Makamu wa Rais azindua Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2019

Makamu wa Rais azindua Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2019, Mkoani Songwe Soma zaidi

Imewekwa: Apr 04, 2019

WAZIRI MHAGAMA AWAASA WANANCHI KUTUNZA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI

Mhe. Mhagama amewataka Wananchi kutunza Mazingira na Vyanzo vya Maji Soma zaidi

Imewekwa: Apr 01, 2019

Waziri Mhagama Haimiza Vijana Kuwa Wazalendo kwa Nchi Yao

Mhe. Jenista Mhagama amewahimiza vijana kuwa wazalendo na kuithamini nchi yao. Soma zaidi

Imewekwa: Mar 27, 2019

WAZIRI MHAGAMA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mhagama amefungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi yake na kuwahimiza kufanya kazi kwa weledi Soma zaidi

Imewekwa: Mar 18, 2019